Numbers 28:5-6

5 akila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa
Sehemu ya kumi ya efa ni sawa na kilo moja.
ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini
Robo ya hini ni sawa na lita moja.
ya mafuta ya zeituni.
6 dHii ni sadaka ya kawaida ya kuteketezwa iliyoanzishwa katika Mlima Sinai kama harufu nzuri ya kupendeza, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa moto.
Copyright information for SwhKC